Jinsi ya kutrack simu iliyoibiwa

Aunt Cash

Member
Joined
Feb 3, 2019
Posts
88
Reaction score
97
Hello!,bandugu....nimepotelewa na smu yangu samsung s6,Naomba mwenye kujua maujanja ya kuweza kuitrack na kuweza kumpata mwizi ,Natangaza donge nono kwa atakaye weza kumpata mwizi pamoja na smu yangu
 
Hello!,bandugu....nimepotelewa na smu yangu samsung s6,Naomba mwenye kujua maujanja ya kuweza kuitrack na kuweza kumpata mwizi ,Natangaza donge nono kwa atakaye weza kumpata mwizi pamoja na smu yangu
Ulikuwa unajua IMEI namba ya simu? Kama ulikuwa hujui basi hutaweza kuipata tena. Na hata kama ulikuwa unajua IMEI mara nyingine unaweza usiipate. Yuko polisi mmoja alikuwa anafanya contract ya kutafuta simu zilizopotea ikiwa utampa IMEI namba. Akiipata unamkatia mshiko. Ikafika mahali na yeye akageuka paka shume. Ukimpa hiyo namba akimpata mwizi wako anamtoa kitu kidogo na anachukua simu yako na kuuza halafu anakuambia hajaipata.
 
Yah!!,,imei number naikumbuka
 
Nipe namba yke hyo paka shume
 
Siku hizi IMEI zinabadilishwa hapo Kariakoo.
Kazi ya dakika chache tu. Ndiyo maana wizi was smart phone umerudi upya.
Still, kama simu ina vitu muhimu ni vizuri kujaribu. Sio wote wanajua mbinu za kubadilisha.
 
Mimi nnaweza kuipata lakn lazma 2we karbu. Cz n lazima ntumie Email yko kwenye kaz yng.
 
kbg
 
Hili ndo tatizo lao aaisee yaani hawa jamaa wanaitwa police hawaaminiki kabisa hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…