Me yangu ni S 9+, sema inanizingua kitu kimoja upande wa camera yaani ukitaka kupiga picha usiku haimuliki taa moja kwa moja, ila inatoa mwanga na kutoa baada ya picha, yaani unakuwa kama unabashiri, haya ndo matatizo ya samsung
me

Nataka ninunue Samsung note 9 Ila sijui namna ya kutambua original Na fake specs 8gb ram 512gb rom Na bei 380,000 inapouzwa ( marketplace) Facebook naombeni nisije ingia choo cha kike wakuu
Simu ya miaka 4 nyuma hiyo ndio bei yake,s10 + plus tu yenyewe imeshuka beiHii S9 jamani mbona bei yake imeporomoka ivo ka uchumi wa Tanzania au kuna hitirafu ilivyotengrnezwa au kuna matolea mazuri kushinda s9??? Maana i atangazwa na wengi kwa bei chee sana.
Bei gani?Simu ya miaka 4 nyuma hiyo ndio bei yake,s10 + plus tu yenyewe imeshuka bei
Usiseme matatzo ya samsung sema matatzo ya refurbished phonesme
Me yangu ni S 9+, sema inanizingua kitu kimoja upande wa camera yaani ukitaka kupiga picha usiku haimuliki taa moja kwa moja, ila inatoa mwanga na kutoa baada ya picha, yaani unakuwa kama unabashiri, haya ndo matatizo ya samsung
S10+ nadhani hadi kwenye laki 9 unapata kwa sasaBei gani?