Jinsi ya kutambua aina ya nyama

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,510
Reaction score
6,893
Wanabodi,
Kesho natarajia kwenda kumtembelea rafiki yangu mmoja huko mikoa ya kusini.


Sasa kwa taarifa nilizo nazo hawa jamaa wa kusini huwa kitoweo chao kikubwa ni nyama ya mbwa na kwa kuwa huyu rafiki yangu tumeshibana sana najua lazima aniandalie pilau pilau ambayo haiwezi kukosa nyama ambayo nina wasiwasi lazima itakuwa ni ya mbwa

Tafadhali mwenye mbinu za kuitambua nyama ya mbwa kwa kupitia labda harufu,mwonekano nk. naomba anieleze ili kesho nikikwepe kikombe cha kula nyama ya mbwa
 
Kwani nyama ya mbwa ina sumu, kula mtoto wa kiume... au wewe ni mwanaume wa dar????
 
Si ni nyama kama nyama nyingine kama wanaokula hawafi alee tu asiulize ulize
jamani mngenielewa siko tayari kula mbwa kwahiyo nipeni maujanja ya kuitambua sio ushauri wa kuila

Ningetaka kula mbwa ningekuwa nimewala wengi toka jana ila nina alej nao na wakijichanganya huwa nawapa kile kipigo cha kamanda muroto
 
jamani mngenielewa siko tayari kula mbwa kwahiyo nipeni maujanja ya kuitambua sio ushauri wa kuila

Ningetaka kula mbwa ningekuwa nimewala wengi toka jana ila nina alej nao na wakijichanganya huwa nawapa kile kipigo cha kamanda muroto
Ulijuaje una aleji nao kama hujawala.
 
Nimekulia Iringa mgololo nimekuwa nikiziskia hizo stori ila kwa mazingira niliyo Julia sijapata kuona au kusikia hicho kitu kikifanyika labda kwa wale wa milimani lakini pia kuna dhana kwamba kipindi hicho wazungu wanaingia Iringa walikaribishwa kula kwa bwana mmoja ambaye alikuwa anakula ugali maharage na nyama pembeni alipowakaribisha kawaambia "karibu ugali ni dogi" yule mzungu kusikia ugali+dogi akajua ugali and dog
 
Kusini hyo unayoizungumzia we kuwa watu wanakula mbwa ni kusini ipi. Ni southern highland zone or South east..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…