chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Apr 2, 2016 #1 Jamani anayeelewa jinsi ya kuscreenshot kwakutumiaa galaxy J1 ace anisaidieeee maaana nimejaribu nimeshindwaaa yani Imekua tofauti na nilivyokuaaa nascreenshot kwenye Huawei
Jamani anayeelewa jinsi ya kuscreenshot kwakutumiaa galaxy J1 ace anisaidieeee maaana nimejaribu nimeshindwaaa yani Imekua tofauti na nilivyokuaaa nascreenshot kwenye Huawei
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Apr 2, 2016 #2 Google ina kila kitu mazee. Hebu zama huko
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Apr 2, 2016 Thread starter #3 Inanielekezaaa lakini kilanikifanya hivyo haikubali
V Valency Raymond Member Joined Mar 25, 2016 Posts 7 Reaction score 1 Apr 2, 2016 #4 Huawei una screenshot je?
J jopss JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 297 Reaction score 454 Apr 2, 2016 #5 Kuna Njia rahis,Nenda Playstore download screen Shot App utumie. Screenshot ultimate au chagua just screenshot.
Kuna Njia rahis,Nenda Playstore download screen Shot App utumie. Screenshot ultimate au chagua just screenshot.
Coping Strategy JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 439 Reaction score 388 Apr 2, 2016 #6 home button + power button. Bonyeza kwa pamoja. Yan bonyeza button ya mbele ya screen, na hyo moja ya pemben upande wa kulia wa simu, kwa pamoja.
home button + power button. Bonyeza kwa pamoja. Yan bonyeza button ya mbele ya screen, na hyo moja ya pemben upande wa kulia wa simu, kwa pamoja.
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,251 Reaction score 16,628 Apr 2, 2016 #7 King'asti said: ...Hebu zama huko Click to expand... Hiki kichwa changu nadhani kina matatizo....yaani niliposoma hebu zama chenyewe kikamalizia chumvini badala ta huko!
King'asti said: ...Hebu zama huko Click to expand... Hiki kichwa changu nadhani kina matatizo....yaani niliposoma hebu zama chenyewe kikamalizia chumvini badala ta huko!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Apr 2, 2016 #8 Mzazi wako alijua akakuita zama ulid. Zamaulid said: Hiki kichwa changu nadhani kina matatizo....yaani niliposoma hebu zama chenyewe kikamalizia chumvini badala ta huko! Click to expand...
Mzazi wako alijua akakuita zama ulid. Zamaulid said: Hiki kichwa changu nadhani kina matatizo....yaani niliposoma hebu zama chenyewe kikamalizia chumvini badala ta huko! Click to expand...
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Apr 2, 2016 Thread starter #9 Yap kitu kimekubali
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Apr 2, 2016 Thread starter #10 Coping Strategy said: home button + power button. Bonyeza kwa pamoja. Yan bonyeza button ya mbele ya screen, na hyo moja ya pemben upande wa kulia wa simu, kwa pamoja. Click to expand... Thnx mzigo umekubali
Coping Strategy said: home button + power button. Bonyeza kwa pamoja. Yan bonyeza button ya mbele ya screen, na hyo moja ya pemben upande wa kulia wa simu, kwa pamoja. Click to expand... Thnx mzigo umekubali