root ni pale mafolder yote yanapoanzia, kwenye android huwa huwezi kupapata, unaachiwa tu folder la sdcard mafolder mengine huyaoni wala huwezi kuyamodify. unaporoot simu sasa ndio unapata acess ya kuyaona.
kwenye windows huhitaji root sababu hakuna kitu kilichofichwa kila kitu unaona na unaweza kukiedit.