Jinsi ya kuroot simu za Android

Umeweka njia ambazo kutokana na system security kuwa upgraded kwa sasa ni ngumu kufanya kazi waelekeze njia ya kutumia pc .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichoona hapa ni kuwa watu wengi hawajua kuwa kabla ya ku root simu yoyote ile inakubidi ufungue android os security kwa lugha nyengine huitwa bootloader simu nyingi now days kuanzia android 5.0 huwa zimeshakuwa unloacked bootloader so ni kitendo cha kucheza na developer option ki2 kinafunguka baada ya hapo una root .
Ku root android bila kufungua bootloader ina high risk sana kwanza simu itakubali kuwa rooted ila kitendo cha kuizima ni kuwa ikija waka inawakia kwenye FRP hapo OS inakuwa ishakuwa deleted kwa kuwa system ina interpret kuwa simu imeibiwa .
Niwatakie ku root kwema ila muwe mnafuatilia kitu kiundani kabla ya kukifanya .
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tueleze jinsi ya kuroot bila kutumia PC's mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaiseeee. Asante kwa wangalizo kiongozi.

Ila nikibadilisha Imei kwani nitakuwa nimefanya Nini au naweza kufanya nini Cha hatari kiasi nisionewe huruma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kubadil imei namba ni kosa kisheria.. Hii iko wazi kwa hiyo tunaporoot cm faida kubwa ni kufuta system app. Kuhack money au gold ktk games.. Kuchange themes ya simu na kubadili android mfano kutoka lollipop kuwa marshmallow

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimejaribu nimeishia njiani, nisaidie hapo kwenye mambo ya security naondoaje ili rooting system ikubali
 

Attachments

  • Screenshot_20200407-000106.jpg
    28 KB · Views: 18
  • Screenshot_20200407-000113.jpg
    21.3 KB · Views: 21
  • Screenshot_20200407-000117.jpg
    18.9 KB · Views: 19
  • Screenshot_20200407-000121.jpg
    21.9 KB · Views: 22
  • Screenshot_20200407-000242.jpg
    23.2 KB · Views: 20

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…