Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Jinga sana. Unatoa elimu na vitisho juuHabari wana JF, leo nimewaletea njia mpya ya kuroot simu ya Android bila kutumia kompyuta, Kumbuka njia hii itakusaidia kuroot simu yoyote ya Android hata zile za tecno ambazo zimekataa kuroot.
**KUMBUKA HATUTA HUSIKA UKIHARIBU SIMU YAKO**
HATUA ZA KUFUATA
1. Download App ya 360 Root Hapa - Tanzania Tech
2. Kisha install Vzuri Kwenye Simu Yako
3. Fungua Programu Hiyo kisha Bofya Sehemu Imeandikwa ROOT, Programu ni ya kichina ila neno ROOT linaonekana.
4. Baada ya simu yako kuroot, simu itazima na kuwaka.
***HAKIKISHA SIMU YAKO INAYO CHAJI YA KUTOSHA, PIA KUMBUKA UNAWEZA KUHARIBU SIMU YAKO****
Sehemu yoyote wanakoeleZea njia ya kuroot iwe walioandika ni wazungu wachina wahindi wajapan waafrika lazima wakupe angalizo kuwa unaweza haribu simu yako na wao hawahusiki na hilo so do it at your own risk.Jinga sana. Unatoa elimu na vitisho juu
Pumbavu, leteni faida za ku root tujue before we risk our phones
Habari wana JF, leo nimewaletea njia mpya ya kuroot simu ya Android bila kutumia kompyuta, Kumbuka njia hii itakusaidia kuroot simu yoyote ya Android hata zile za tecno ambazo zimekataa kuroot.
**KUMBUKA HATUTA HUSIKA UKIHARIBU SIMU YAKO**
HATUA ZA KUFUATA
1. Download App ya 360 Root Hapa - Tanzania Tech
2. Kisha install Vzuri Kwenye Simu Yako
3. Fungua Programu Hiyo kisha Bofya Sehemu Imeandikwa ROOT, Programu ni ya kichina ila neno ROOT linaonekana.
4. Baada ya simu yako kuroot, simu itazima na kuwaka.
***HAKIKISHA SIMU YAKO INAYO CHAJI YA KUTOSHA, PIA KUMBUKA UNAWEZA KUHARIBU SIMU YAKO****
Kwel kabisa faida Kwanzaa hasara baadaefaida ya kuroot?
Mtakamatwa wengi si kila simu inaweza tumia software au apk kuirootTecno l9+ haiwezekani kwa njia hiyo. Sijui mleta mada aliposema simu zote alimaanisha za brand gani?
Atakamatwa nani ikiwa simu ni yake? Rooting ni kosa?Mtakamatwa wengi si kila simu inaweza tumia software au apk kuiroot
nilifanikiwa kuroot tecno w4 kwa kutumia PC lkn niliweka kwanza twrp kisha nikaistall app y superSU.zip ikakubal lkn bila computer sidhan kma inawezekana kurootWaliambia "it is not possible to root" nikaona nisilazimishe kung'oa mzizi.
Atakayefanikiwa kuroot TCNO 8, W4 & W5 salama anijulishe.
Weka hayo maujanja hapa km hautajali. Nina simu ya tecno w4 nahitaji kuroot lkn kila njia ninayoifanya inashindikananilifanikiwa kuroot tecno w4 kwa kutumia PC lkn niliweka kwanza twrp kisha nikaistall app y superSU.zip ikakubal lkn bila computer sidhan kma inawezekana kuroot