jinsi ya kupunguza kitambi

Haya bwana mana hiyo njia ya kupunguza mafuta ni balaa.
 
Mwenye kitambi anayetaka kukiondoa anitafute atakuwa flaat tena Kwa gharama ndogo.
 
nashukuru Mungu sina kitambi na sitakuja kupata kitambi milele. topic hii hainihusu.
 
Ukimaluza uweke na jinsi ya kupata kitambi, maana ukiwa na kitambi hulali njaa mjini.
 
Hii njia nimeipenda hakuna gharama zaidi ya hizo kuni na kiberiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…