Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,839
Hamira hutakiwi kuweka au baking powder je???
Kwa ufahamu wangu huweki hamira wala baking powder, unakanda unga tu kama ilivyoelekezwa, labda kama kuna mwenye ufahamu mwingine maana mapishi yanatofautiana.Hamira hutakiwi kuweka au baking powder je???
Hapo kwenye sukari napo si pagumu ukipazoea. Ninachojua unachemsha maji na sukari mpaka inapokuwa kama inanata, ila angalia isiungue, ndipo unatia visheti vyako na kuvichanganya. Jinsi unavyoendelea kuchanganya sukari inaganda kwenye visheti hadi inakaukia humo yote.Pia nilijaribu kupika lkn sukari ndo majanga namna ya kuifanya igande ktk visheti,,mweeee mapishi haya ni fumbo kubwa mno.
Sio mbaya nikipewa ufafanuzi ktk maswal yangu.
Sukari unaweka wakati gani? Kwenye matayarisho sijaona sukari.
Sukari kwenye shira ile syrup ya juu
Njoo kwangu nikupikie ili ukaushe mate yako@farkhina
Mmmmh mkwe ungejua nnavyotamani visheti acha tu tena zile vya namba nane....
Mrs Kharusy nije kwako utanipikia visheti?
Njoo tu jaan....usimuache Angel Nylon
Mmmmh mkwe ungejua nnavyotamani visheti acha tu tena zile vya namba nane....
Mrs Kharusy nije kwako utanipikia visheti?
Shila ikoje hiyo
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums