MAHITAJI
1.Karanga za kusagwa
2.Chumvi
3.Unga wa mlenda
4.Maji
NB: sina utaalamu sana wa vipimo vya upishi,ndio maana sijaweka vipimo sahihi vya upishi huu
Hahaha vipimo shughuli kubwa.
Emmy akikufundisha vipimo nishtue na mie,kizuri kula na nduguyo
Sasa N.K na mboga ya nswalu, wapi na wapi mkuu?Nipo north korea mkuu
Nipo north korea mkuu
Hahahaa hawa jamaa wanazingua,wamesuntana wee mpaka watazamaji tumechoka,si wachapane tu yaishe
Safi kabisa,mboga ikiiva pia mnikaribishe ntakuja na poti la ugali wa dona.
Haa jamani yaan nakupa ofa unanikatisha tamaa kabisa
Aah mpaka tumechoka maana watu wamesha bet tayari tayari kwa kudaka mapesa
Angekua bush angeshaenda vitan zamani trumph ujanja wake upo kwenye biashara na vitisho