Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
chagua moja bas :hungry:Tawireeeeeeeee.....!!
Karibu...Ngekualika ila niko mbali tu!Wapendelea mayai gani weye?wee mkali i wish oneday ungenipa mwaliko,
Wowwww mhhh ....halaf sometime tunaendaga restrnt unaletewa menu unaona vitu vya ajab kweli!! Thanks mimi49 kwa kutuekea upishi tofauti wa yai...halaf kuanzia sasa inabidi nijifunze na haya majina yaani huku kwetu likiwekwa kitunguu yai likipikwa lenyewe pia yai hatunaga jina lengine tunalotumia;-)
Mi pia napenda hio haswa na chapati 🙂 lkn napenda langu ligeuze ili yale macho yakaangike kidogo!Napendelea sunny side up
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mi pia napenda hio haswa na chapati 🙂 lkn napenda langu ligeuze ili yale macho yakaangike kidogo!
me too.Mie napenda french toast
chagua moja bas :hungry: