Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,453
Mwaka flan nilienda Bukoba basi nilivyofika tu wenyeji wakanikaribisha na sahani ya ndizi imechanganywa na samaki, kwa kua nilikua na ubao nikaipiga,kwenye ndizi hapo daaah,
sitaki kupikiwa hata awe fundi vipi staki mtu anipikie ndizi.
Itakua wapare na wasabato lolYaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.
Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
Hahahaha inategemea na hio cabbage unaipikajetuende mbele turudi nyuma..
ugali kabichi ni kula ili usife tyuu
Tatizo upishi trust meTatizo sio kuyapika vizuri bibie shida sijazoea kuyala.. madude unakula yanakuangalia.
Kwanini yanaleta njaa mapema
Tatizo upishi trust meTatizo sio kuyapika vizuri bibie shida sijazoea kuyala.. madude unakula yanakuangalia.
Kwanini yanaleta njaa mapema
Wewe hua wayapenda.?Tatizo upishi trust me
""E="LadyRed, post: 33731420, member: 358507"]
Hahahaha inategemea na hio cabbage unaipikaje
Kwa kweli likipikwa chukuchuku kama salad huwa sili kabisaa nawaachia
Nikipika mwenyewe napenda niiunge cabbage na nyanya na nazi na royco kwa mbalii sana
Afu nile ugali/wali na cabbage maharage na nyama/kuku fried
Umemjibu kwa busara sana Ubarikiwe.Mkuu ntake radhi...nawaheshimu wazazi wangu,lakini naheshimu wazazi wote,zaidi watu wote...wakati mwingine kukaa kimya ni busara pia
Sio kiiivo nna mieziii sijayapika hapa homeWewe hua wayapenda.?
Dada wewe unaonekana ni mtalaam wa mambo ya maakuli natamani.nije nipige lunch hapo kwako ili nithibitishe ubora..Eti makande mabaya mkuu kile chakula habari nyingine hasa kande ikolee nazi na karoti.
Tafuta anayejua hutayachoka hasa yakolee nazi.Dada wewe unaonekana ni mtalaam wa mambo ya maakuli natamani.nije nipige lunch hapo kwako ili nithibitishe ubora..
Ukweli Mimi napenda makande sio utani ni.muda tu sina na mpishi sina ila huwa siyachoki hasa yakilala
Yana undugu na sukuma wikiHahaaaaa bora makandeeee
Kebichi ni funga kaziiii....
Half kuna watu wanasemaa
oooooh hujakutana na lililopikwa vizuriiiii
lile dude tunakula kuokoa roho tuuuu...
Acha nionekane mshamba humu jf lakini ukweli napenda makende...Tafuta anayejua hutayachoka hasa yakolee nazi.
Vers miss yoTafuta anayejua hutayachoka hasa yakolee nazi.
Daah mmi naomba siku ukiyapita nikaribishe labda nitayapenda ila ya hapa hapana aseeSio kiiivo nna mieziii sijayapika hapa home
Ila siyachukii
Ktk upishi iwekwe mafuta kiasi,kitunguu,peanut butter nazi na pilipili na chumvi na iachwe ichemke hadi mchuzi uwe ni mziiiitooo kabisaaa
Siku utakula kwa anayejua kupika utajilaumu why uliyachukia.Vers miss yo
Sawa,mganga.Tuna taasisi tayari ya FOOD FOR LIFE na tunatoa zaidi ya makande asante