Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

watu tunakula ugali na picha ya samaki, sembuse kabichi
 



Mboga safi ni ugali wenyewe tu, yani unasonga ugali mkubwa na kingine kadogo kalaini unafanya ndiyo mboga.Hutokaa uache pishi hilo.


Mboga ninayoikubali ni ugali tu.Yani unasonga ugali mbili, mmoja mkubwa mgumu na mwingine mdogodogo mlaini, huu mdogo ndiyo mboga.

Bonge la menu hilo.
 
Upishi wa KABICHI ya haraka, haraka, kama hutaki kupoteza muda Jikoni.

Kata kata KABICHI yako kisha ioshe vizuri, kisha ichuje Maji.

Ukimaliza kuichuja, iweke Motoni, katia Vitunguu, Nyanya, Chumvi kwa mbali, nyunyizia Mafuta ya kula kidogo ili itakapokauka isije kugandia kwenye Sufuria/Kikaango.

Kisha funika Sufuria yako/Kikaango chako na endelea na shughuli zako nyingine.

Baada ya dakika chache utasikia inavyoanza kunukia na kuanza kukauka.

Ikishaanza kukauka inanywea na mvuke unakuwa mwingi, cha kufanya anza kuigeuza geuza na kuikaanga.

Kama una cha kuongezea, wakati wa kuikaanga ndio muda muafaka.

Sijawahi kuipika, ila kwa jinsi nilivyoona upishi wa KABICHI ni rahisi sana, na pia hupotezi muda mwingi Jikoni
 
Kabichi ikipashwa tu nakula bila shida.
Hata kama imewekwa nyama ila ipashwe tu kidogo tena isiwekwe nyanya.
Ile inayoiva mpaka inabadilika rangi na kuwa kama nyeupe siiwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wallah jf sihami nimecheka kama mwehu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…