G45 Senior Member Joined Apr 21, 2016 Posts 163 Reaction score 94 Jan 6, 2017 #1 Naomba kujua jinsi ya kupika bagia alafu pia kujua tofauti ya bagia za Tz naza Kenya coz wakenya wanasema bagia kwao ni viazi vimewekwa unga wa rangi vika kaangwa!
Naomba kujua jinsi ya kupika bagia alafu pia kujua tofauti ya bagia za Tz naza Kenya coz wakenya wanasema bagia kwao ni viazi vimewekwa unga wa rangi vika kaangwa!
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,898 Reaction score 183,246 Jan 17, 2017 #2 Bagia gani mkuu? Za kunde,za dengu,za......
Mchumiajuone Member Joined Dec 15, 2016 Posts 66 Reaction score 33 Jan 17, 2017 #3 zile za kunde anaejua aelezee procedure nimekumbuka sana shule ya msingi
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,201 Jan 17, 2017 #4 Bagia au Badia?[emoji15] Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
sinyora JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 972 Reaction score 1,640 Jan 18, 2017 #5 Zina kunywa mnoo mafuta