Jinsi ya kupata WiFi kwenye Desktop computer yako!

Jinsi ya kupata WiFi kwenye Desktop computer yako!

Nodus

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
350
Reaction score
938
Kama inavyojulikana desktop computers nyingi hazitengenezwi na built in WiFi kwenye CPU kama zilivyo laptops, hivyo kuna kero kubwa haswa kwa zama hizi kama mtu anataka ku-connect na hotspot ya simu yake au kama unatumia computer za ofisini na unahitaji kubrowse kitu fasta fasta kwenye internet.

Wengi wanakubali kuwa USB tethering inamahangaiko yake, Hamna uhuru wa kuwa mbali na simu, hata simu ikiita uinapokelea ukiwa-restricted kwenye CPU yako. Cable inaweza kupotea, kuharibika, kujikwaa kwenye cable etc.

Kwa haraka tuangalie njia 2 kuu za kufanya wewe uanze kutumia WiFi kwenye desktop yako na chagua njia rahisi kwako.

1. The Easy way: USB-to-WiFi adapter

Hii ndio njia rahisi kuliko zote. Kama una operating system za hivi karibuni kama Windows 10 au Windows 8, ni kiasi cha kuchomeka tu na kuanza kazi hapo hapo. Kwa windows 7 unahitaji uinstall drivers kwa mara ya kwanza na kisha endelea kutumia kwa uhuru. Adapters hizi zinatofautiana range zake na efficiency yake. Bei yake ni ndogo tu unaweza kupata kwa kama $10 Amazon. Mfano wake ni kama huu chini.

photo_2018-03-31_12-36-01.jpg
photo_2018-03-31_12-36-06.jpg
photo_2018-03-31_12-36-11.jpg

photo_2018-03-31_12-36-27.jpg



2. Kuchomeka internal WiFi card

Hii njia ina ugumu wake, kwanza kuifungua PC (inaondoa warranty ya kifaa chako) kisha unaweza kununua na isiwe compatible na hardware yako na kiufupi range inaweza kuwa kubwa, ile ile au ndogo kutegemea na cover ya CPU etc. Pia kuna tatizo la heating na mengineyo. Uzuri wake ni kuwa zipo efficient na haziwezi kuchomolewa kirahisi hivyo ni ngumu kuibiwa.

Mfano wake ni kama huu chini:

internal wifi card.jpg


Hakuna haja ya kujistress tena ukinunua desktop, hakuna haja ya kununua moem wakati unawza kutumia internet ya simu yako au another WiFi connection, kiufupi unapata uhuru unaohitaji.

Kwa sasa kuna USB-to-WiFi adapters chache nilizonazo kama hizo juu, na zinapatikana kwa bei ya Tshs. 25,000/= tu, Unapewa na link/files za kudownload drivers zake kama operating system yako haisupport plug and play.

Kwa mawasiliano zaidi: Call/Text/WhatsApp/ 0782067860.

Wahi sasa uchukue kifaa chako ujipe uhuru!!
 
Back
Top Bottom