Idea zipo nyiingi mno kwa huo mtaji na zenye uhakika wa kukuzalishia pesa kama hyo mara 3 hadi nne ndani ya mwaka mmoja...
Jambo msingi hapa nikushauri ya kuwa ondoa mawazo ya kurithi au yale mawazo zoefu jitahidi kupokea mambo mapya na kuyafanyia kazi pia jitahidi kuzichukua changamoto za watu na uzifanye fursa kwako ya kujiingizia kipato...
Muhimu ni kuepuka mambo ya short cut jitahidi saana kufata sheria na ufanye biashara kitaalamu na kama hivyo unasema ujui biashara wapo wataalamu unaweza kuwaajiri au kufanya nao kwa kuzingatia mikataba mizuri ambayo itakulinda ktk buashara mtakayoianzisha
Kuwa makini saana hiyo pesa ni nyingi saana kwa kuitamka lkn kwenye biashara ni ndogo saana kama hutofanya utafiti na kujipanga kabla ya kujiingiza kwenye biashara yoyote...