kama ina android 2 kushuka chini basi nenda play store download app za snapshot sio lazima iwe rooted,
kama ina ics au jellybean basi zina option ya screenshot tayari, angalia tu shortcut zake zikoje
mfano: samsung galaxy uwa unabofya home button + button ya pembeni inachukua screenshot