Mkuu ungempa taratibu kuanzia mwanzo hadi kupata hiyo leseni. (Samahani sio nakukosoa bali naboresha maelezo).
Kwanza aende TRA apate TIN namba ambapo kule ili apate TIN namba inamlazimu kuchukua zile fomu za makadirio ya kodi, barua ya kupeleka kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa, mkataba wa hilo eneo lake la biashara na asisahau passpoti size vlvl igongwe muhuri juu yake na Mwenyekiti. Hii ni TIN namba ya biashara
Baada ya kupata hiyo TIN namba toka TRA inabidi aende manispaa ya sehemu husika atapewa fomu ambapo atajaza na kuambatanisha kopi za mkataba wa eneo la biashara, TIN namba na chochote muhimu kutokana na biashara anayofanya kama itakuwa biashara maalum. Lakini biashara ya kawaida mara nyingine huwa wanataka na cheti cha afisa afya au sehem ajaze nk.
Kwa biashara maalum kama biashara ya madawa watataka na cheti cha TFDA nk
Mkuu ungempa taratibu kuanzia mwanzo hadi kupata hiyo leseni. (Samahani sio nakukosoa bali naboresha maelezo).Nashangaa hukujibiwa on time huu uzi. Lakini leseni inapatikana Halmashauri/Manispaa ya sehemu uliyopo kwa biashara yako ni ipo kundi A biashara ndogo so makadirio nazani utalipa 120k kwa mwaka!.
No offense mkuu!.Mkuu ungempa taratibu kuanzia mwanzo hadi kupata hiyo leseni. (Samahani sio nakukosoa bali naboresha maelezo).
Ni TIN, siyo TIN namba. TIN ni usajili wa mlipa kodi. Pamoja na fomu ya maombi atapaswa pia kuwa na Tax Clearance kutoka TRA.Mkuu ungempa taratibu kuanzia mwanzo hadi kupata hiyo leseni. (Samahani sio nakukosoa bali naboresha maelezo).
Kwanza aende TRA apate TIN namba ambapo kule ili apate TIN namba inamlazimu kuchukua zile fomu za makadirio ya kodi, barua ya kupeleka kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa, mkataba wa hilo eneo lake la biashara na asisahau passpoti size vlvl igongwe muhuri juu yake na Mwenyekiti. Hii ni TIN namba ya biashara
Baada ya kupata hiyo TIN namba toka TRA inabidi aende manispaa ya sehemu husika atapewa fomu ambapo atajaza na kuambatanisha kopi za mkataba wa eneo la biashara, TIN namba na chochote muhimu kutokana na biashara anayofanya kama itakuwa biashara maalum. Lakini biashara ya kawaida mara nyingine huwa wanataka na cheti cha afisa afya au sehem ajaze nk.
Kwa biashara maalum kama biashara ya madawa watataka na cheti cha TFDA nk
Sawa mkuuNo offense mkuu!.
kazi ya kumpa mlolongo kwa mtindo huo ni kazi zenu consultant me niliamua kumpa in-general nikiassume ana Tin tayari!.
Nashukuru umetumia lugha rahisi kueleweka, mleta mada kama yupo serious ayafate maelekezo yako!..
Asante mkuu kwa kuongezea na kunirekebisha katika TIN na si TIN NAMBA. Japo imezoeleka sana hivyo lkn kwa usahihi ni hiyo uliyorekebisha hapo.Ni TIN, siyo TIN namba. TIN ni usajili wa mlipa kodi. Pamoja na fomu ya maombi atapaswa pia kuwa na Tax Clearance kutoka TRA.
Mkuu ungempa taratibu kuanzia mwanzo hadi kupata hiyo leseni. (Samahani sio nakukosoa bali naboresha maelezo).
Kwanza aende TRA apate TIN namba ambapo kule ili apate TIN namba inamlazimu kuchukua zile fomu za makadirio ya kodi, barua ya kupeleka kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa, mkataba wa hilo eneo lake la biashara na asisahau passpoti size vlvl igongwe muhuri juu yake na Mwenyekiti. Hii ni TIN namba ya biashara
Baada ya kupata hiyo TIN namba toka TRA inabidi aende manispaa ya sehemu husika atapewa fomu ambapo atajaza na kuambatanisha kopi za mkataba wa eneo la biashara, TIN namba na chochote muhimu kutokana na biashara anayofanya kama itakuwa biashara maalum. Lakini biashara ya kawaida mara nyingine huwa wanataka na cheti cha afisa afya au sehem ajaze nk.
Kwa biashara maalum kama biashara ya madawa watataka na cheti cha TFDA nk
Mwambie pia ukienda TRA na ukafanyiwa makadario ya kodi watakutaka hapo hapo hiyo kodi ili upate tax clearance ya kupeleka manispaa.
Hapa mm ndio ninapopata shida sana na TRA,ni kwann ukishakadiriwa unatakiwa kulipa instalment ya kwanza kabla hata biashara haijaanza!?
Nalipaje kodi biashara haijaaanza!?hv kodi ni nn labda mm sielewi maana unaponilazimisha nilipe kodi kabla biashara haijaanza maana nalipia mtaji wangu kodi!?
Ikitokea nikakwama kwa namna moja ama nyingine,TRA watanirudishia hiyo hela!?
Kuna kitu naona hakipo sawa kabisa na hii inachangia saana watu kukwepa kulipa kodi kwasababu ni upuuzi kunitaka nilipe kodi kwa biashara ninayo fikiria kuianzisha!
Na haya mambo ndio yanayo ongeza cost of doing business hapa nchini..
Hivi kuna Tangazo liliuwa liantolewa kuwa TIN ni Bure ,hawa watu walimaanisha!
Huku mtaani TRA wakipitaga maduka yote unakuta yamefungwa, mtaa mzima wauza duka wenye leseni ni wawili tu (hawa hawafungagi maduka yao TRA wanapokua wanapita)Mwambie pia ukienda TRA na ukafanyiwa makadario ya kodi watakutaka hapo hapo hiyo kodi ili upate tax clearance ya kupeleka manispaa.
Hapa mm ndio ninapopata shida sana na TRA,ni kwann ukishakadiriwa unatakiwa kulipa instalment ya kwanza kabla hata biashara haijaanza!?
Nalipaje kodi biashara haijaaanza!?hv kodi ni nn labda mm sielewi maana unaponilazimisha nilipe kodi kabla biashara haijaanza maana nalipia mtaji wangu kodi!?
Ikitokea nikakwama kwa namna moja ama nyingine,TRA watanirudishia hiyo hela!?
Kuna kitu naona hakipo sawa kabisa na hii inachangia saana watu kukwepa kulipa kodi kwasababu ni upuuzi kunitaka nilipe kodi kwa biashara ninayo fikiria kuianzisha!
Na haya mambo ndio yanayo ongeza cost of doing business hapa nchini..
naomba kuuliza ukiwa na TIN namba ya upande wa udereva huwezi kutumia hyo hyo TIN kwenye upande wa kutafuta leseni ya biashara. msaada wenu wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Utalazimika kufuata taratibu zifuatazonaomba kuuliza ukiwa na TIN namba ya upande wa udereva huwezi kutumia hyo hyo TIN kwenye upande wa kutafuta leseni ya biashara. msaada wenu wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kama hiyo TIN siikumbuki? Na cheti nilishapoteza?Utalazimika kufuata taratibu zifuatazo
1. Kwenda TRA kubadili matumizi ya hy TIN kutoka matumizi yasiyo ya biashara na kuwa ya biashara
2. Utatakiwa kulipa kodi ya awali ya makadirio baada ya ambayo utalipa kila baada ya miezo mitatu ie Machi 31, Juni 30, Septemba 30 na Disemba 31 ya mwaka husika wa kodi
3. Utatakiwa uende na mkataba wa pango wa kisheria ambao utatakiwa kulipia kodi ya zuio 10% ya thamani ya mkataba wa pangp na ushuru wa stempu 1% wa thamani ya mkataba wa pango ikiwa mahala pa biashara si umepanga. Na kama hujapanga basi nenda na vielelezo kuthibitisha eneo hilo ni lako
4. Utaomba cheti cha mlipa kodi ie Certificate of Tax Clearance ambayo utawaambia inaenda manispaa gani lutokana na eneo lako la biashara
5. Kwa sasa navyofahamu leseni waomba tu online japo nasikia bado kuna baadhi ya manispaa zinapokea "paper works"! Kama utaomba online kupitia tanzania national business portal utaambatanisha vielelezo vyako ktk format ta pdf na kama mfumo wa zamani utaenda na vielelezo vyako ktk manispaa husika.
Sent using Jamii Forums mobile app