Jinsi ya kuongeza RAM

Jinsi ya kuongeza RAM

Omary idd

Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
65
Reaction score
13
Naomben msaaada. Ndugu zangu wana JF Nina. Laptop aina ya HP ina RAM Ya 2GB Nataka kuongeza RAM ili ifike 4GB Je nitumie. Procedure zipi???
 
Naomben msaaada. Ndugu zangu wana JF Nina. Laptop aina ya HP ina RAM Ya 2GB Nataka kuongeza RAM ili ifike 4GB Je nitumie. Procedure zipi???

Nunua Ram nyingine uongezee
Kwa kawaida kuna kua na sehemu mbili za kukaa Ram ivyo ukinunua ingine utaiweka hapo ambapo kumebakia
 
Pia kabla ujanunua iyo RAM itabidi ujue Ram unayotumia wewe kwenye laptop yako ni aina gani
 
Naomben msaaada. Ndugu zangu wana JF Nina. Laptop aina ya HP ina RAM Ya 2GB Nataka kuongeza RAM ili ifike 4GB Je nitumie. Procedure zipi???
1. Jua aina ya RAM ya PC yako..kama ni DDR 2 au DDR 3 n.k
2. Jua kama waweza fungua mashine yako (hasa kwa chini) na hakikisha unajua idadi ya ram zalizomo kwenye PC yako..hapa yawezekana ram ziko mbili kwenye slots zake (1gb Kila slot) au stot moja ndio imebeba ram moja ya 2gb.
Kama ni ram moja ya 2gb basi nunua 2gb nyingine uongezee kwenye slot iliobaki...na kama ni 1gbs zipo katika slots zote basi aidha nunua 4gb (a single chip) au 2gb mbili Kisha fuata procedure hapo juu.
3. Hakikisha unapoweka ram eneo lake vile vibati vinabana vzr na Ile notch (mkato kwenye Ram) umeingia mahala lake vizuri.
4. Rudiashia sehemu uliofungua vizuri Kisha washa mashine yako na Kisha angalia kama ram imesoma vizuri.
ANGALIZO
kama PC yako ni hizi nyembamba Sana (extra slim) na hujui pa kuanzia kuifungua, tafadhari onana na wajuzi karibu yako....
Wenzangu wataendelea nikipoishia au kusahihisha zaidi.
Justin.
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Back
Top Bottom