Ndugu zangu nina mtaji mdogo wa kama shs.milioni 2 je nifanye biashara gani ambayo inaweza kunipa faida na kuongeza mtaji nilio nao,naomba michango yenu ahsanteni nipo Mwanza
Je ukinunua pikipiki ya kufanya biashara ya bodaboda italipa?

acha madharau wewe mtoto,watu wanaanza na mtaji wa 20,000 wanafanikiwa itakuwa hiyo million 2 ashindwe.
kuna mama ntilie namjua alianza na mtaji wa elfu 20 sasa hivi ana million 10 bank,endelea na hizo dharau
Mtaji huo mkubwa sana,nakushauri ufanye biashara ya maziwa fresh.sehemu ya kuchukulia mzigo ipo na soko lipo kama hutajali amka alfajiri uone yanavyogombewa pale ubungo mataa,kwa kifupi lita 1 unanunua sh. 500 kuuza kuuza kwa bei ya chini 1000.for more info ni pm.