2. Chagua App ambayo unataka kuiondolea Google Ads,
3. Bofya Open Menu of Patches,
4. Chagua Remove Google Ads,
5.Chagua Patch Google Ads,
6. Kwenye Chek Boxes chek "Resizing Ads to Null/Zero" kisha Scroll mpaka chini na Chek "Apply Patch to dalvik-cache" na UN-CHEK "Backup apk file for reinstall", kisha click Apply,
ANGALIZO: Kama App ulio Patch haifanyi kazi vizuri au inaleta shida yeyote install upya na usitumie Patch tena katika Version ya Lucky Patch ulio Tumia.