Jinsi ya kununua chaji ya simu

mi ninazo nauza buku mbili mia tano lakini one hour itajaza 100% nicheki dm
 
kwenye official specification za simu wanaandika.
Mkuu tafadhali naomba niambie app nzuri ya android kwa ajili ya kuangalia epg tv guide ya tv channels maarufu kama vile discovery science, natgeo gold, natgeo wild, etv, discovery investigation e. t. c kwa sababu katika king'amuzi changu cha azam mara nyingi nikibonyeza ile button ya epg ili niangalie ratiba ya vipindi huwa naambiwa no epg information available na matokeo yake nakosa au napishana na vile vipindi vizuri![emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
angalia ratings za betri ya simu yako hapo angailia voltage na current tuanzie hapo
 
Ili uweze kupata charger ambayo itakuwa ni msaada kwako,kwa simu yako na kwa betri yako ni bora ukafanya ukaguzi katika betri yako kuwa inahitaji charger ya namna gani kwa kuonisha maelezo ya voltage (input & output) kutoka kwenye betri na charger.Hivyo ndiyo vigezo vya kitaalamu na sio bei ambazo charger husika inauzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…