Kwahiyo unataka kutuambia kuwa wewe unahongwa?
I feel so guilty and selfish ......
Kwahiyo unataka kutuambia kuwa wewe unahongwa?
kama hukuwapenda kwa nn uliwatongoza?
afu kwa nini uwe nao wote? wewe ni mala.ya...
unawatesa watoto wawatu.. subiri zamu yako kwa huyo utakaejifanya unampenda.
mwanaume kuhongwa ni hatari sana
Siongwi but my mistress will do anything to keep me
umewaza kama mimi lolKwahiyo unataka kutuambia kuwa wewe unahongwa?
Oa mke wape kadi