Jinsi ya kumridhisha mwanamke

ntugwa12

Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
85
Reaction score
34
Habari wadau, kila siku nimekuwa nikijifikiria ni style gani humfikisha mwanamke kileleni?
 
Zama chumvini bila uoga mkuu hakuna kingine....
 
Kabla Ya Kufikilia Njia Za Kumfikisha Mwanamke Me Nakushauri Utafute Pesa Kwanza.
 
Habari wadau, kila siku nimekuwa nikijifikiria ni style gani humfikisha mwanamke kileleni?
Kwanza unatakiwa kujua mlima unaotaka kumpandisha una urefu gani..

Kama ni mlima kama Kilimanjaro basi hakikisha unapatia yeye fimbo kwaajili ya kumsaidia kwenye Yale maporomoko..

Unaweza pia ukatumia style ya kujigeuza ngazi akapita juu yako pale anapokwama..

Mpandishe salama hapo kileleni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…