Jinsi ya kumiliki Michepuko

Fala sasa si ungetutumia inbox?..michepuko na wake wote wapo hapa na washajua hayo
 
Nataka nitengeneze familia ya pili nipe maujanja,vipi kuhusu kuupangishia mchepuko hii imekaaje?

Sipangwingwi
Hakikisha huyo mke wa pili kwa hivi mwanzoni hakujui kwako na hamfaham bimkubwa. Hakikisha huyo mke wa pili anakuja kuonekana badae sana na kutambulika yaani mkiwa mpo stable tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…