babuukikolo
Senior Member
- Jan 1, 2014
- 146
- 167
Habarini wana jamvi,
Jana nilikuwa najaribu kuextend wireless network kama ifuatavyo:
Naomba mwenye uzoefu na hizi tp-link routers na access points anisadie maana nimekomaa ila sijaona mafanikio bdo.
- Ni jengo la floor 3 so nimeweka utp cable kwa kila floor
- Nimenunua tp-link w801 acess points 3 na kuzinconfigure kama repeaters n nikaweka same ssid,mac adress,password na encryption kama router iliokuwepo.
- Nimedisable dhcp kwenye access point zote. Na ip address nimeacha kama static.
- Default address ya hizo access points zote zimekuja na 192.168.0.254. Sijazibadilisha nimeziacha kama zilivyo.
- Default address ya router yangu ni 192.168.1.1 ni aina ya tp-link ila model tofaut kidogo na hizo acess points.
- Nikijaribu kuset hizo access point hizo ssid,password na mac address nikirestart haifungui hiyo default page hadi nibinye reset button sijui shida ni nn.
- Kwenye router nime enable dhcp ila nimeconnect napata ip adress conflict sijajua shida iko wapi bdo.
Natanguliza shukrani
Asanteni
Ndugu issue yako haihitaji mtu mwenye uzoefu na Tp-link routers inahitaji mtu anayefahamu networking,vifaa vingi the way zinavyofanya kazi ni the same.
Sijaona sababu ya wewe kutumia repeaters kuextend hiyo network,kama ni gorofa 3 kwa wastani kimo cha gorofa moja ni 4m so 4x3=12m urefu huu verticaly ni mdogo sana kwani max range ya utp/stp cable ni 100m tukiacha horizontally,nakushauri utumie cable kutoka kwenye source(router/switch iliyo karibu na gateway) tumia cable.Ukitumia wireless kwanza signal strength inapungua sijui kama unajua hivyo kutokana na barriers mbalimbali zikiwemo kuta za jengo na partition kama zipo.
Je unatumia repeaters kwani hakuna sehemu ya kupitisha cable kwenda kwenye gorofa zingine?
"Nikijaribu kuset hizo access point hizo ssid,password na mac address nikirestart haifungui hiyo default page hadi nibinye reset button sijui shida ni nn.
Hapa kama sijakuelewa uelezee vizuri,hiyo default ip ya access pts192.168.0.254 kama ukisha set huwezi kuipata kwenye browser ukiwa connected kwenye network yako ya 192.168.16.1.x kwani ni network mbili tofauti labda kama utabadilisha ip za hizo device kuwa katika network yako na si hiyo zilizokuja nazo i.e 192.168.0.254.Utaweza kuipata tu wakati unaseti only computer yako nayo ukiwa umeset ip katika range ya 192.168.0.x .Issue yako ni ndogo sana sasa kufundisha kwa kuandika ni shida.Wewe uko mkoa gani? Are you ready to incur some cost if asked to?
Thanx for ur help mkuu. Ni hivi:-
Nimepitisha wire kutoka kwenye router kwenda kwenye hizo access point. Nimeziita repeater maana wakati wa kuset kama unaextend range unachagua option ya repeater
Default ip ya hizo access point ni 192.168.0.254 kwa zote kama ziliandikwa nyuma.
Na router yake default ip yake ndo 192.168.1.1
Lengo lango ni kuextend hiyo wireless network ili mtu alieko floor 3 aweze acess net.
Sasa hizo access point nimeset ssid,mac address,password,na enryption ziwe same kama router yangu. N pia nimedisable dhcp kwa acess point zote na nimenable kwenye router only.
Sijachange default ip nimeziacha as static sema sasa niniziconnect hizo cables kuna ip conflict
Vile vile nikishaziset hizo tp-link access point nikireboot then ikiwaka inasema page unavailable wakati nimetype 192.168.0.254. Ila nikireset kwa kubinya button inakubali
Mi nipo mwnz mkuu. We upo mwz kwan?