Jacky: Baby nipo Kariakoo kuna gauni nimeiona nimeipenda inauzwa elfu 25,000, ningenunua sema wallet nimesahau nyumbani, pls nirushie M-pesa darling
James:*150# >> tuma pesa >> kwa Jacky >> kiasi 600tshs
Jacky: Baby umekosea? mbona 600??
James: Hapana baby nauli tu, 300 kwenda nyumbani kuchukua wallet na 300 kurudi kariakoo. Vipi ni fupi hilo gauni, linakutait vizuri kale kashape kako kaonekane? maana baby ukiwa kwenye gauni fupi tight unatokaga bomba kweli. cant wait to see you love, kisses!!
Jacky:Mschewwww @%%%@ Arrrghrrrr Kabang!!
Jacky ni kichunaji kidogo! Ungenikuta mie Chunaji lenye over 10 years of experiance pangechimbikaaaa!!!!!!
Dear embu twende hapo KKoo nataka nikanunue kigauni, sasa nataka ulithaminishe si wajua tena 300,000/= si mchezo, i realy need ya opinion!
Nimejaribu, kalikubali, Haya dada funga hilo gauni na viatu vyake!!!!
"Tumeeeeee! Deaaaar! Wallet si nimeisahau pale kwako? Sasa itakuwaje baby wangu jamani manake keshalifungaaa?"
Wanaume wasivopenda aibuuuu! Fastaa pesa inatolewa pale, mie mwepesiiiiiiiiiii! MARRY XMASS N A HAPPY NEW YEAR!!!!!

Kha! Si bure we bidada!......
Mbona maJames huwa wapole lakini, ila kweli huwa wanajifanyaga wajanja fulani hivi
Chezea James Mamitooo! Jimmy jibaba katishaje!!!Jacky atajuta kumfahamu James.
Binadamu upenda kushauri wengine ambayo wenyewe yana washinda!
Jacky ni kichunaji kidogo! Ungenikuta mie Chunaji lenye over 10 years of experiance pangechimbikaaaa!!!!!!
Dear embu twende hapo KKoo nataka nikanunue kigauni, sasa nataka ulithaminishe si wajua tena 300,000/= si mchezo, i realy need ya opinion!
Nimejaribu, kalikubali, Haya dada funga hilo gauni na viatu vyake!!!!
"Tumeeeeee! Deaaaar! Wallet si nimeisahau pale kwako? Sasa itakuwaje baby wangu jamani manake keshalifungaaa?"
Wanaume wasivopenda aibuuuu! Fastaa pesa inatolewa pale, mie mwepesiiiiiiiiiii! MARRY XMASS N A HAPPY NEW YEAR!!!!!
hahah unaiangalia hii kama negative thing...huu ndio wakati wakuwagegeda wanawake bwana....kuwa na pesa wee mpe vijipresent muhaidi kumpeleka outing ya ukweli yaani demu bwana udhaifu wao ni care sio love...wewe utawagegeda mpaka basi.
ila kwa wale ambao hawana tactics za kuhakikisha akitoa pesa yake basi lazima agegede naomba asijaribu kabisaaa!!!