Kama kampuni yenu iko imesajiliwa brela.Kuna mtu kwenye hio kampuni yenu ana kofia mbili.Moja ni share holder na nyingine ni Company secretary,,huyu ndie anaweza kumtoa yoyote na kumuingiza yoyote kwenye u share holder...Ongea nae afuate taratibu za brela akutoe maana Una hisa zako pia unaweza ukaziuza au ukazigawa.