Jinsi ya kujipatia Heshima

Jinsi ya kujipatia Heshima

Big Phil

Member
Joined
Nov 20, 2019
Posts
50
Reaction score
339
1. Acha kuwaomba watu kila wakati, muamini Mungu kwa kila jambo.

2. Acha kuwafuta wasiyekutafuta.

3. Usile chakula cha watu wengine zaidi ya wao kula chako.

4. Punguza jinsi unavyowatembelea baadhi ya watu hasa pale wanapokuwa hawaonyeshi kujali.

5. Wekeza ndani yako. Jifanye kuwa na furaha.

6. Acha porojo za kuburudisha na sikiliza zaidi ya kuongea.

7. Fikiri kabla ya kuzungumza. Asilimia 80 ya jinsi watu wanavyokuthamini ndivyo vinavyotoka kinywani mwako.

8. Kuwa mfanisi kwa kujishughulisha na lengo lako.

9. Heshimu wakati.

10. Usikae kwenye uhusiano ambao unadharauliwa kila mara.

11. Kuwa na hofu na Mungu kila wakati.

12. Uwe mtoaji zaidi kuliko mpokeaji.

13. Jifunze jinsi ya kuweka akiba na kutumia pesa yako mwenyewe

14. Usiende mahali ambapo hukualikwa na unapoalikwa usichoke kaa karibu nawe.

15. Watendee watu jinsi walivyostahili.

16. Usichoke kujiongezea maarifa mapya ikiwemo kusoma vitabu.

17. Kuwa mzuri katika kile unachofanya. Kuwa bora zaidi unaweza kuwa.

18. Usiwaonee wivu watu husio na tija.

19. Jiamini Kila wakati na husiwe mwepesi kukata tamaa.

20. Mpende mkeo/mumeo na wazazi kwani familia ndo kila kitu.
 
Uzi mzuri
 
Back
Top Bottom