Jinsi ya kujiajiri

Uko right mkuu na kingine ni kwamba kwa wanavyuo wenzangu jitihada za kujiajiri ni vizuri ukazianza au kuzipanga kabla hujamaliza chuo sio unaanza kuzifikiria baada ya kutembea sana na bahasha hapo utakua haupo vizuri kisaikolojia na utazifanya kwa pressure mwisho wa siku utafail
 
Shukran sana ubarikiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mku,umetisha sna ,bt changamoto ya mitaji bado ni shida Sana , ila Kama mitaji ipo hili Jambo linawezekana Sana
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji2955]Hizi point kuntu nilizitoa mimi....

Hapana asee mimi sina uwezo huu kuna mtu atakuwa kai hack account yangu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…