Jinsi ya Kuji-introduce katika Interview

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,316
Reaction score
840
Jamani naombeni kujua jinsi ya KujiIntroduce mwenye ni vitu gani vya msingi ktk kujitambulisha mbele ya panel? help afu ntawatonya Konstabo na Sajent lini interview
 
Jamani naombeni kujua jinsi ya KujiIntroduce mwenye ni vitu gani vya msingi ktk kujitambulisha mbele ya panel? help afu ntawatonya Konstabo na Sajent lini interview
sasa mkuu hiyo ya migration si ni mpaka trh 21 mwezi huu ama??

kwanza si mpaka watoe shortlisted kabla ya call for interview?
 
sasa mkuu hiyo ya migration si ni mpaka trh 21 mwezi huu ama??

kwanza si mpaka watoe shortlisted kabla ya call for interview?



nibrief bas kwanza jinsi ya KujiIntroduce
 
cha msingi umuulize anaye ku interview uanzie wapi kujieleza.
 
start from currently who are,what you do in current employment how much you success your curent employer and how much did you expect to bring significant contribution to the position your applying now

chemsha akili fanya home. usiwape habari zako za ulisoma wapi au wewe ni mtoto wa ngapi kwa familia yenu
 
1. Who are you??
Means what is your name!!
How old are you!!
Your qualification (education)
Are you employed?? Gusia kidogo.....

2. Then after that!! Other Questions come!!
 
 
 
 
 
1. Who are you??
Means what is your name!!
How old are you!!
Your qualification (education)
Are you employed?? Gusia kidogo.....

2. Then after that!! Other Questions come!!
Unapoulizwa 'who are you?' the main theme hapo wanapima uelewa na uwezo wako ktk kujieleza wanapima confidence, experience yako kwenye kazi unayoomba, kutaja jina huwa ni formality tu.

Badala ya kuulizwa 'who are you?" unaweza kuulizwa 'Tell us about yoursefl' au 'express yourself'.

Unapoulizwa hivyo usianze kueleza historia ya maisha yako ulizawa lini na wapi hawahitaji hicho ......na usitumie muda mrefu, sana sana dakika 1 au 1 na nusu.

Tell us about yourself......

It's my pleasure to introduce myself.
My name is XXXX, I have completed my B.E........
I have been working xxxx for 3 years,........
I was promoted to ....... and handled large complex xxxxxx
My accomplishments include...........,
I believe my strengths and abilities would contribute to your company's growing success. Thank you.
 
 
 

Asante sana.....! Umesomela mkuu ntaaply
 
Introduction is so easy what you do, first master you cv even if they already have it .
Starts like this,
thank you for giving me a chance to introduce about myself.
My name is juma mohamed
then come about education touch only the highest level,
then come to your experience, for graduate talk about practical training......
Conclude with personal qualitie(strenghs and weakness) example i am integrity, honesty.....
Thank you once again, Is how am.
hapa wanapima vitu vifuatavyo;
language(english) ability,confidence and ability to express yourself.
 

mkuu we mkareee, kama bado hujapata kazi mi naandamana
 

Mkuu kwa uandishi huu, naomba umuelekeze mleta uzi kwa lugha ya taifa! Hongera kwa kumshauri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…