Jinsi ya kuinstall whatsapp kwenye iPad

dSamizi

Senior Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
106
Reaction score
54
Wataalam naomben maelekezo ya namna naweza fanya installation ya whatsapp kwenye ipad nmejaribu kwa namna ya kawaida lkn inakataa kuoperate. Mwenye mwanga zaid. App nyingine km viber, jamii forums, imo etc. zinaoprate bila tatzo
 
Kuna njia nilijaribu na nikaweza.

WhatsApp Web ndo option.


Weka Google Chrome then ingia ktk www.web.whatsapp.com make sure un request desktop version ktk browser ya chrome. Then cha kufanya una intergrate kati ya what'sapp yako ktk simu na ipad yako ktk zile QR code. Ziki kubali utaona chats na majina yako yameamia ktk ipad. Hivyo utafurahia whatsapp ktk ipad.




Karibu mkuu
 
Mkuu naomba ukazie apo kwenye integration ya sim na iPad sijakuelewa vzr
 
mkuu izo QR code inabid iwepo iphone?, coz apa nna sumsang
 
View attachment 341377 mkuu izo QR code inabid iwepo iphone?, coz apa nna sumsang
Fungua whatsapp ktk simu yako then binya ktk option button


Mfano
ingia ktk whatsapp web. baada ya hapo. Utaona page kama hii wakikuelekeza jinsi ya ku intergrate baada ya hapo camera itafunguka kwaajili ya kusoma QR CODE



Turudi ktk ipad


Then fungua www.web.whatsapp.com ktk Google Chrome. Huku ukiwa ume "check" option. Ya REQUEST DESKTOP VERSION.


ITA LOAD THEN ITATOKEA QR CODE

MFANO

Then kutanisha QR code na camera.


Mkuu natumai utakuwa umeelewa
 
Reactions: Lee
Hatari mkuu,, asantee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…