Ndgu wana jf:
Kama kichwa cha habari inavyoeleza apo juu naombeni msaada wa jinsi ya kuunganisha desktop yangu na photocopy machine aina iyo apo juu, kwani nimepakua driver setup yake lakini nilipojaribu kuinstall kwenye desktop ili kuunganisha kati ya photo machine na desktop kupitia hatua 1 mpaka ya mwisho, ikifika mwisho inatuma ujumbe kama huu apa USB NOT RECOGNIZED, ok nikabadilisha USB tena ujumbe ni huohuo nmebadilisha USB mara kibao lakin akuna kitu.
Naombeni msaada wanajf najua humu kuna wataalam wazuri sana, kwan mimi nakosea wapi?
Ikifika hapo ndio ujumbe unatokea
View attachment 1239555View attachment 1239560View attachment 1239561