mwanajamii26
Member
- Dec 16, 2014
- 58
- 13
Ulisha wahi kukaa na kujiuliza kuwa ipo siku simu za Android zitaweza kuingia windows kama zilivyo simu za microsoft lumia au kama computer?
sasa n kwambie tu kuwa swala hilo linawezekana kwa sasa, kama wewe ni mpenzi wa operating system za window unaweza ingiza window kwenye simu yako ya android bila tatizo lolote na kwa urahisi kabisa.
NGOJA TUWEKANE SAWA HAPA
Ninapo sema window kwenye simu za Andoid namaanisha window na sio LUNCHER ZA WINDOWS kama wengi watakavyo dhani. Unachotakiwa kufanya ni kudownload app inayotwa CHANGE MY SOFTWARE 8.1 na kisha uistall kwenye pc yako.
SASA ANGALIA VIDEO IFUATAYO ILI KUJUA NINI CHA KUFANYA ILI KUINGIZA WINDOWS KWENYE SIMU YAKO YA ANDROID