angalia ulipolieka hilo game lako ukishapajua baadhi ya updater mwanzo zitakuuliza hio directory, ikikataa unaweza ipaste kwenye hio directory kisha ukarun tena.
ila kitu kimoja ukumbuke most of time huwa official updaters hazifanyi kazi kwenye pirated games, kama ulichakachua game usitegemee upate support kwa ulie mchakachua. itabidi utafute updater ambayo imechakachuliwa nayo.