Jinsi ya kuhama kozi UDOM

Jinsi ya kuhama kozi UDOM

Ezdan22

Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
12
Reaction score
1
Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!!
Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi?....
Naomben msaada
 
Back
Top Bottom