Sasa wewe hujasema kama unaenda social au nong'ona tukushauri vizuriNimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!!
Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi?....
Naomben msaada
Chukua vitabu vyako na kiti chako,kisha hama kutoka darasa lako kuelekea darasa ambapo inafundishwa hiyo course,so simpleNimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!!
Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi?....
Naomben msaada
naona kupevuka kiakili bado hujafikiaFuata atua za nyau utafanikiwa kuhama
##ukisoma hii signature we mkewangu haaahaa ###