ngayongadaniel Member Joined Sep 29, 2016 Posts 20 Reaction score 8 Sep 25, 2018 #1 Naomba kuuliza kwenye UHAKIKI PORTAL -RITA ukishatuma information inachukua muda gani kupata majibu Na kwenye kutuma files I mean risit na PDF copy ya cheti , tunatuma kama file moja au tunatenganaisha cheti kivyake na risit kivyake Msaada pleasw
Naomba kuuliza kwenye UHAKIKI PORTAL -RITA ukishatuma information inachukua muda gani kupata majibu Na kwenye kutuma files I mean risit na PDF copy ya cheti , tunatuma kama file moja au tunatenganaisha cheti kivyake na risit kivyake Msaada pleasw
M matni Member Joined Jul 28, 2018 Posts 47 Reaction score 13 Sep 25, 2018 #2 Kwanza ukishatuma inachukua siku 3 then kuhusu kutuna vyote unascan pamoja
geniusMe JF-Expert Member Joined Jan 27, 2018 Posts 1,312 Reaction score 1,786 Sep 25, 2018 #3 Kumbuka kwenye uhakiki wamesema usitume kwa EMS maana yake upeleke mwenyewe kwa mkono.