Inawezekana lakini ukigundulika watakufungia kila kitu na unaweza kushitakiwa. Halafu jiulize kidogo ungekuwa ni wewe unatoa hiyo huduma halafu watu wakachakachua huoni kama ungepata hasara? Kwa nini ndugu yangu unawaza kuchakachua. Kwa nini unawaza shortcut? Cha kufanya buni mradi wa uzalishaji upate kipato cha kutosha ili ulipie hiyo huduma na si kufikili kuchakachua wenzio.
Unajuwa! ukiwaza kuchakachua ni dhambi na wizi, mungu hapendi.
Sio dhambi! Hakuna noma wala nini, ! King'amuzi umekinunua mwenyewe kwa pesa yako na kwa matumizi yako mwenyewe na risiti ukapawa, huwezi kupangiwa!. Kama ukiamua kukichoma moto ni juu yako, hasara yako! huna sheria ya kumzuia! Ni ruksa kukibomoa na kukichakachua kama unaweza! La msingi usifanye tu biashara ya kuwachakachulia wengine kwa malipo. Wajibu wa watoaji wa ving'amuzi ni kukutafuta na kukulipa ili uwaonyeshe ulivyochakachua ili iwasaidie kuboresha na kuziba mianya kwenye matoleo mapya ya Ving'amuzi.Inawezekana lakini ukigundulika watakufungia kila kitu na unaweza kushitakiwa. Halafu jiulize kidogo ungekuwa ni wewe unatoa hiyo huduma halafu watu wakachakachua huoni kama ungepata hasara? Kwa nini ndugu yangu unawaza kuchakachua. Kwa nini unawaza shortcut? Cha kufanya buni mradi wa uzalishaji upate kipato cha kutosha ili ulipie hiyo huduma na si kufikili kuchakachua wenzio. Unajuwa! ukiwaza kuchakachua ni dhambi na wizi, mungu hapendi.
Inawezekana lakini ukigundulika watakufungia kila kitu na unaweza kushitakiwa. Halafu jiulize kidogo ungekuwa ni wewe unatoa hiyo huduma halafu watu wakachakachua huoni kama ungepata hasara? Kwa nini ndugu yangu unawaza kuchakachua. Kwa nini unawaza shortcut? Cha kufanya buni mradi wa uzalishaji upate kipato cha kutosha ili ulipie hiyo huduma na si kufikili kuchakachua wenzio.
Unajuwa! ukiwaza kuchakachua ni dhambi na wizi, mungu hapendi.
Inawezekana lakini ukigundulika watakufungia kila kitu na unaweza kushitakiwa. Halafu jiulize kidogo ungekuwa ni wewe unatoa hiyo huduma halafu watu wakachakachua huoni kama ungepata hasara? Kwa nini ndugu yangu unawaza kuchakachua. Kwa nini unawaza shortcut? Cha kufanya buni mradi wa uzalishaji upate kipato cha kutosha ili ulipie hiyo huduma na si kufikili kuchakachua wenzio.
Unajuwa! ukiwaza kuchakachua ni dhambi na wizi, mungu hapendi.
Wataalam kuna hii ki2 huwa najiuliza sana.
Ikiwa sim,modem zile ambazo huwa zina2mia line moja wataalam huwa wanaziflush (unlock/chakachua) na kuanza ku2mia line zote.
Swali langu je kwa receiver ambazo huwa zina2mia kadi haiwezekan kuchakachua nakuanza ku2mia kwa kadi nyingine?? Mfano kadi ya ting ukaitumia kwenye receiver ya dstv na kutazama chanel zitolewazo na ting??
Au haiwezekan kuflash/unlock/chakachua ukawa unai2mia kama receiver ya free km media com??
Kama itawezekana si inaweza ikapunguza garama ya kuwa na mareceiver mengi.
Na kama hayo yote hayawezekan ni kwanin hayawezekan?? Ni ki2 gani kinacho fanya yasiwezekane ikiwa kwenye simu na modem inawezekana!!!
.......Nawasilisha kwenu wataalam......
Mkuu mimi sio mtaalamu lakini kukusaidia ni kuwa inawezekana kama ving'amuzi vinatumia mfumo mmoja wa urushaji na upokeaji wa mawimbi.
Mfano unaweza kutumia ving'amuzi vya startimes kukamata baadhi ya chaneli za ting tena bila hata kutumia kadi yao.
Lakini pia haiwezekani kama wanatumia mifumo tofauti, mfano dstv wanadaka direct kwenye setelaiti wakati startime wanadaka kwenye dish lililopo kisarewe.
Pia ving'amuzi vinatofautiana sehemu vinapo daka mawimbi(direction) ni lazima liangalie sehemu fulani ndio upate mawimbi na huwezi kupata mawimbi ta setelaiti nyingine hadi ugeuzo ungo
wajumbe hzo zinaitwa decoder ikiwa ina maana kuna m2 amerusha signal zake zkiwa na noise flan so akizirusha ili utoe ile noise ni lazma utumie kifaa ambacho kinaitambua ile noise zats y ,kila compny ina de _coder zake yan kuztafsir zile code zilizorushwa. so ma self haiwezkan
Usiseme haiwezekani! Ni suala la muda tu. masuala haya ya Technologia we acha tu utashangaa!wajumbe hzo zinaitwa decoder ikiwa ina maana kuna m2 amerusha signal zake zkiwa na noise flan so akizirusha ili utoe ile noise ni lazma utumie kifaa ambacho kinaitambua ile noise zats y ,kila compny ina de _coder zake yan kuztafsir zile code zilizorushwa. so ma self haiwezkan
:lol: Hana lolote huyo hajui kitu kabaki kusema zambi,zambi tu kama yeye mtakatifu wa Roma.Hii inawezekana kwa 100% hakuna cha DSTV wala king`amuzi gani cha bongo. Nitafute kkilonzi@hotmail.com Пусть все узнает можна