king majah
Member
- Jan 10, 2013
- 61
- 50
Kwenye dunia ya leo simu za Android imekuwa kitu muhim sana zaid ya kuzitumia kwa mawasiliano bali wengine zimekuwa ni office zake kabisa. hutumia kuhifadhi vitu vyetu vingi nyngine ikiwa ni siri kama pictures, video, documents etc.
mara nyingi siri hz hutoka nje bila ya muhusika kupenda kwa njia moja au nynge
leo hapa nakupa hii bila kutumia application yyt jinsi ya kuficha siri zako kwenye simu yako. ni rahisi sanaaa
♧ tafuta file ambalo unataka kuficha
♧ fanya kama unataka ku-RENAME hyo file na badala yake anaza na dot kwa mfano file ni pictures basi utabadilisha jina hv (.pictures ) full stop (dot) lazima iwepo mwanzo
♧ kisha nenda file manager setting ondoa tick kwenye kwenye ( Show Hidden Files )
hapo itakuwa umesha ficha file lako ukilitaka tena kulitumia rudi kwenye setting weka ile tick uliondoa.