Inavuta mbele nadhani!4WD ni nzuri maana popote waenda bila kuogopa
4WD kwny ka IST ni ujinga tu,hakuna kitu katafanya.4WD ni nzuri maana popote waenda bila kuogopa
Gari Inayovuta mbele ni FWD(Front-wheel drive) na sio 4WD.Inavuta mbele nadhani!
gari unaagiza japan ? au unanuna kwa mtu ?Habari wakuu, nahitaji kununua hii gari Toyota(ist)nafahamu kuna za cc1200 na cc1400, lakin nimeambiwa niwe makini hiz za cc1400 nyingi ni zina option ya 4WD na baadhi hazina, so naomba msaada nitumie vigezo vipi kufahamu yenye 4WD na isiyo na 4WD maana nahitaji ya cc1400 isiyo na 4WD .
HATA PASSO, VITZ ETC KUNA ZENYE 4WD NENDA BEFORWAD UTAZIONA KWA URAHISISijawahi ona IST yenye 4WD mwenye kujua hii gari atuwekee hapa hata picha
ZIPO
HATA PASSO, VITZ ETC KUNA ZENYE 4WD NENDA BEFORWAD UTAZIONA KWA URAHISI
[/QUOT
Mafundi wengi wanasema hiyo ni lugha ya biashara Tu sio Bali kuna FWD
gari unaagiza japan ? au unanuna kwa mtu ?
Kama ni Japan website zina details zote za gari husika na pia IST yenye 4wd inakua na sticker nyuma na ukiangalia chini utaona ina diff pia exchaust yake iko tofauti na ist za kawaida sababu inaiipisha diff ikae vizuri
unaiuzaje pale Ofisini kwako ,namba DToyota Ist 4wd exhaust yake inakua upande wa kushoto
Wewe ndio mjinga unayeishi kwa assumptions. Ulishawahi kuwa nayo?4WD kwny ka IST ni ujinga tu,hakuna kitu katafanya.
unaiuzaje pale Ofisini kwako ,namba D
Wewe ndio mjinga unayeishi kwa assumptions. Ulishawahi kuwa nayo?
Mdau unayetaka kununua IST, mimi nakushauri nunua yenye 4WD kama unaishi maeneo yenye miinuko yenye utelezi au mchanga. Mimi nina site yangu Kibaha Misugusugu, nina Hilux Single Cabin inashindwa kupita kufika kwenye kiwanja lakini IST ndio naitegemea sababu ya mchanga