Msaada Toyota IST 4WD

Champagnee

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
5,656
2,000
Wakuu mambo vipi naomba mnipe sifa za hii gari ya toyota ist 4 wheel drive kwenye spea, utumiaji wa mafuta, service na ubora wake barabarani. Je na kati ya ist 4WD & 2WD ipi ni best?? Wajuzi wa mambo karibuni
 
king90

JF-Expert Member
Apr 18, 2014
342
250
Wakuu mambo vipi naomba mnipe sifa za hii gari ya toyota ist 4 wheel drive kwenye spea, utumiaji wa mafuta, service na ubora wake barabarani. Je na kati ya ist 4WD & 2WD ipi ni best?? Wajuzi wa mambo karibuni

Kuna fundi aliniambia gari ndogo zenye 4WD huwa zinasumbua,hakunipa maelezo sana ila ninachofahamu ni kwamba zenye 4WD zinakula mafuta kuliko zenye 2WD
 
Champagnee

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
5,656
2,000
Kuna fundi aliniambia gari ndogo zenye 4WD huwa zinasumbua,hakunipa maelezo sana ila ninachofahamu ni kwamba zenye 4WD zinakula mafuta kuliko zenye 2WD

Ni kweli coz 2WD ina 1290cc na 4WD ina 1490cc japo kuna zingine 2WD zina 1490cc, nimeuliza watu wengi wenye 4wd wanasema zipo poa tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom