Jinsi ya kudownload video kutoka katika Application

msuyaeric

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
862
Reaction score
1,264
Habari wakuu..
1.Naombeni msaada kwa yoyote anayejua jinsi ya kudownload Video kutoka katika Application.. Leo nilidownload SimuTv sasa kuna video nikataka ni download ila ikashindwa..

Hvyo kama kuna njia ya kudownload video kutoka SimuTv naomba nijue..

2. Mfano unakuta mtu YouTube kaweka video ya Habari je anapatia wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…