Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 956
Pole mkuu, kubypass rar protected file si kitu rahisi. kama movie tu chek hiz site wana movie kibao www.kickass.to/
Mwana kama hint tu nakupa hayo ya movie zilizo kwenye .rar na unakuta na ki file Read Me.txt, achana nayo kabisa, yani utakua umeingia hasara, hilo file la read me utakua wanakuambia kitu kama download password kwenye url flani waliokupa, hyo url itakupeleka kwenye Surveys, ambazo zinaboa mbaya... Ushauri tu!
Naomba msaada wa jinsi ya kubypass winrar protected file au kama kuna programu ya kusaidia hili tatizo.
Nimedownload movie mbili kutoka Movies Torrents - Download Free Movies Torrents, lakin wakati naextract nikaombwa password,ambayo kuipata mpaka nijaze online survey,nikaona sio shida nikaenda kujaza survey online, cha ajabu kila nikijaza sioni password wananiambia nirudi mainpage nianze upya.
Kinachoniuma hizo movie zimekula bundle ya 2.3 GB kwahiyo nimeona mpaka kieleweke.
Mwenye msaada tafadhali.

Rar password ni noma. Cha kufanya ni kutemana na hiyo movie. Uwe unadownload movie kupitia KICKASS au THEPIRATEBAY huko hakuna mambo ya password