Usomaji wa vitabu upo wa aina nyingi kulingana na msomaji na aina za vitabu anavyopenda.
Mm vitabu huwa naviCatagorize:
-Maarifa
-Burudani
-Challenge
Hapo huwa vinaingia vitabu vya aina nyingi, na huwa nasoma kulingana na muda na mood pia,
Nikiwa sijachoka akili wala mwili naweza kusoma aina zote hapo juu..
...nikiwa nimechoka ila nahitaji kusoma kwa ajili ya kitu fulani basi shelf ya "Maarifa" lazima niipitie,
...nikiwa bored naweza kusoma vya "Maarifa na burudani"
...nikiwa safarini napendelea kusoma vya "burudani na challenge" ili akili iwe busy na kitabu,
Kwahiyo ktk usomaji ni mtu tu na jinsi anavyopenda kuoangilia mambo yake, nina tabia ya kurudia vitabu pia....nikimaliza kusoma kitabu huwa naandika ktk list ya vitabu nilivyosoma na kama nimekipenda nitakiHIGHLIGHT na hata kukichambua kwa ufupi zaidi ili nikielewe zaidi.
Usomaji wa vitabu ni mzuri sana hupanua ubongo na kuufanya uwe unaweza kufikiria mambo mapya na magumu zaidi.
Natumai nimeeleweka kidogo.