Zinnob5 Member Joined Aug 16, 2021 Posts 30 Reaction score 2 Aug 20, 2021 Thread starter #41 Suplexkid said: WelcomeView attachment 1899818 Click to expand... Eee naona mambo mazur tu ,mambo matamu nakubali sanar bro tuko pamoja
Suplexkid said: WelcomeView attachment 1899818 Click to expand... Eee naona mambo mazur tu ,mambo matamu nakubali sanar bro tuko pamoja
Circuit Breaker Senior Member Joined Mar 31, 2021 Posts 158 Reaction score 350 Aug 22, 2021 #42 Zinnob5 said: Bro mim siishii diploma nataka nisome mpaka niwe na masters Click to expand... Hahahaha, karibu sana DIT maneno haya yataisha tu yenyewe baada ya muda
Zinnob5 said: Bro mim siishii diploma nataka nisome mpaka niwe na masters Click to expand... Hahahaha, karibu sana DIT maneno haya yataisha tu yenyewe baada ya muda
Mbassa jr JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 1,234 Reaction score 3,235 Aug 22, 2021 #43 Circuit Breaker said: Hahahaha, karibu sana DIT maneno haya yataisha tu yenyewe baada ya muda Click to expand... Hahaha akishaanza kula DH na musuri mirefu ya B12 au T au C 1&2 ataelewa
Circuit Breaker said: Hahahaha, karibu sana DIT maneno haya yataisha tu yenyewe baada ya muda Click to expand... Hahaha akishaanza kula DH na musuri mirefu ya B12 au T au C 1&2 ataelewa
Circuit Breaker Senior Member Joined Mar 31, 2021 Posts 158 Reaction score 350 Aug 22, 2021 #44 Mbassa jr said: Hahaha akishaanza kula DH na musuri mirefu ya B12 au T au C 1&2 ataelewa Click to expand... Mimi mwenyewe nilikua na mawazo hayo hayo. Hustle nilizopitia paka diploma ikaisha. Nikasema Si-So-Mi, hata mfanye nini, Nimekesha sana B9 Nimekesha sana W8. Ataelewa tuu akishafika dit baada ya test 1 na 2.
Mbassa jr said: Hahaha akishaanza kula DH na musuri mirefu ya B12 au T au C 1&2 ataelewa Click to expand... Mimi mwenyewe nilikua na mawazo hayo hayo. Hustle nilizopitia paka diploma ikaisha. Nikasema Si-So-Mi, hata mfanye nini, Nimekesha sana B9 Nimekesha sana W8. Ataelewa tuu akishafika dit baada ya test 1 na 2.
Zinnob5 Member Joined Aug 16, 2021 Posts 30 Reaction score 2 Aug 22, 2021 Thread starter #45 Circuit Breaker said: Hahahaha, karibu sana DIT maneno haya yataisha tu yenyewe baada ya muda Click to expand... Asante sana bro ila hayo sio maneno tu nimalengo na nilazima niyatumize
Circuit Breaker said: Hahahaha, karibu sana DIT maneno haya yataisha tu yenyewe baada ya muda Click to expand... Asante sana bro ila hayo sio maneno tu nimalengo na nilazima niyatumize