jinsi ya kuapload picha jf

unatumia simu au PC...........?
 
Mimi naomba mnielekeze jinsi ya kum- mention mtu na jina lake likawa na link mpaka kwenye profile yake.
 
Mimi naomba mnielekeze jinsi ya kum- mention mtu na jina lake likawa na link mpaka kwenye profile yake.

kama hivi.... Malyenge.........
weka alama hii .....then usiache nafasi unaandika jina la huyo unayetaka kum-mention.........hebu jaribu nione.........
 
Last edited by a moderator:
mbna nielekeziiiiiiiiiii

wakati unaandika post..........chini ya sehemu ya Font na size.....kuna vidirisha viwili......kimoja cha kuinsert image.......na kingine cha video......jaribu pia kuwa mchunguzi kidogo.....vitu vipo wazi kabisa..........
 
kama hivi.... Malyenge.........
weka alama hii @.....then usiache nafasi unaandika jina la huyo unayetaka kum-mention.........hebu jaribu nione.........
naomba unipe masomo ya ziada ya IT please!!malipo maelewano ni PM kama upo tayari mkuu
 
Katika uwanja wa kutype post kwa juu kuna colums mbili za alama, column ya pili ni fupi. Ktk hiyo column fupi kibox cha 13 kutoka ukiweka cursor kinaonyesha INSERT IMAGE ndo hapo haswaaaaaa
 
Preta, najaribu kufuatilia somo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…