Jinsi ya kuangalia local channels kwa kodi kwenye pc.

spleeingiant

Senior Member
Oct 24, 2016
138
44
Habarini wanajamii naomba msaada wa namna ya kuangalia local channels kwa kutumia kodi kwenye pc.
 
Kuna kifaa wanauza 80k, unaangalia channel bure kwwny pc bila kuweka vfurush... ila waliikataza hii kitu inaitwa cable TV ukidakwa ni kosa

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…