martini enock JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 635 Reaction score 274 Dec 19, 2016 #1 Habari za leo wakuu Naomba kujua jinsi ya Ku update king,amzi cha startime Kwa mwenye uelewa na hili anisaidie.
Habari za leo wakuu Naomba kujua jinsi ya Ku update king,amzi cha startime Kwa mwenye uelewa na hili anisaidie.
Th los proffcnal JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 583 Reaction score 348 Dec 20, 2016 #2 Muda mwingine huwa kina jiupdate chenyewe ukishakiset atomatic seach.
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,828 Reaction score 1,861 Dec 20, 2016 #3 Sijajua unataka kuupdate nini kama ni channel fanya autosearch.
martini enock JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 635 Reaction score 274 Dec 21, 2016 Thread starter #4 CORAL said: Sijajua unataka kuupdate nini kama ni channel fanya autosearch. Click to expand... Nataka kukiupdate kiwe na nguvu zaidi Kama wafanyavyo azam nk. Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
CORAL said: Sijajua unataka kuupdate nini kama ni channel fanya autosearch. Click to expand... Nataka kukiupdate kiwe na nguvu zaidi Kama wafanyavyo azam nk. Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app